Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 4 Februari 2018

Mama Mwimbe na Mama Njama watoa ahadi endapo Nathan atafanya uamuzi wa kufunga ndoa


Mama Mwimbe pichani juu akitoa ahadi yake ya kumnunulia viatu vya harusi Nathan endapo atafanya uamuzi wa kufunga ndoa takatifu na mama watoto wake ambaye wameishi kwa miaka kadhaa bila ndoa takatifu. Pia Mama Njama aliahidi kumnunulia shati Nathan. Ahadi hizo wamezitoa leo walipowatembelea Dismas na Agnes kwa kufunga ndoa takatifu tarehe 8 Des 2017 Dodoma.
Mama Njama
Nathan mwenye shati ya draft akisikiliza ahadi kwa makini toka kwa Mama Mwimbe (hayupo pichani)


0 maoni:

Chapisha Maoni