Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 4 Februari 2018

Ni picha nzuri ya kumbukumbu ya tarehe 25 Sept 2016


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Padri Jackson Sosthenes (kushoto) na Padri Johnson Lameck wakati alipowasili katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam kushiriki katika Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi tarehe Septemba 25, 2016.


0 maoni:

Chapisha Maoni