Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 11 Februari 2018

Picha 12: Jumuiya ya Mt. Yakobo yaibuka kinara kwenye uzinduzi wa sadaka za Jumuiya kila mwezi

Kwa mara ya kwanza leo jumuiya zimeanza utaratibu wa kutoa sadaka ya pamoja. Haimaanishi sadaka za muumini mmoja mmoja hazitakuwepo, bali huu ni utaratibu utakaofanyika mara moja kwa mwezi. Jumuiya ya Mt. Yakobo pichani juu imeibuka kinara kwa kumtolea Mungu zaidi ya jumuiya nyingine. Pia vikundi vingine vya hapa kanisani viliunga mkono utaratibu huu kwa kutoa sadaka zao. Mungu atubariki sana.
 Jumuiya ya Mt. Luka ikitoa sadaka yao
Jumuiya ya Mt. Yohana ikitoa sadaka yao
 Jumuiya ya Mt. Cecylia ikitoa sadaka yao
 Jumuiya ya Mt. Marko ikitoa sadaka yao
 Jumuiya ya Mt. Mariam ikitoa sadaka yao

 Jumuiya ya Mt. Theresa ikitoa sadaka yao

 Jumuiya ya Mt.Joseph ikitoa sadaka yao

Umaki wakitoa sadaka yao

 Sayuni Kwaya wakitoa sadaka yao
Wahudumu wa madhabauni na wageni wakitoa sadaka yao

Katibu wa kanisa John Mwimbe kulia akikinga mkono ili wana Tayo waje kutoa sadaka

0 maoni:

Chapisha Maoni