Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 25 Februari 2018

Picha 3: Kikao cha Halmashauri ya mtaa chafanyika

Leo kikao cha Almashauri ya mtaa wetu kimefanyika. Pichani juu ni meza kuu ikiongozwa na Padre Johnson Lameck katikati, Katibu wa mtaa John Mwimbe kulia na Katibu msaidizi Ndaison Jacob. Waumini tutaendelea kufahamishwa ibadani mambo yaliyojadiliwa.
 Wajumbe
Wajumbe

0 maoni:

Chapisha Maoni