Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 11 Februari 2018

Picha 3: Mwinjilisti Emmauel atoa huduma ya maombi

Akiwa MC wa siku ya uzinduzi wa utoaji sadaka za jumuiya leo, Mwinjilisti Emmanuel Mbata alitumia dakika chache kuwafanyia watu maombi. Pichani juu ni Mzee Robert Mahimbo akiombewa tatizo la miguu. Hata hivyo hakuweza kumaliza kuwafanyia maombi waumini wote waliokuwa kwenye foleni kutokana na muda. Aliamua kuwafanyia maombi kwa ujumla.

Waumini wakiwa kwenye foleni ya kufanyiwa maombi
Mzee Mahimbo baada ya kuombewa

0 maoni:

Chapisha Maoni