Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumanne, 13 Februari 2018

Picha 5: Mbwembwe za MC Mwinjilisti Emmanuel zanogesha uzinduzi wa utoaji sadaka za Jumuiya

Mwinjilisti Emmanuel Mbata ndiye aliyekuwa mshehereshaji leo kwenye siku ya uzinduzi wa sadaka za jumuiya. Hakika aliifanya kazi yake vizuri. Hizi ni baadhi ya picha za mbwembwe ambazo zilipelekea siku hii kufana sana. Mungu ambariki sana
 

0 maoni:

Chapisha Maoni