Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 4 Februari 2018

Picha 7: Uinjilisti kwaya wawapongeza Dismas na Agnes kwa kufunga ndoa

Leo Uinjilisti kwaya ya hapa mtaani wamewatembelea Dismas na Agnes na kuwapongeza kwa kufunga ndoa tarehe 8 Des 2017 huko Dodoma. Kwaya hiyo alikabidhi zawadi mbalimbali kwa familia ya Dismas. Mungu aibariki sana Uinjilisti Kwaya, Amina
 Mwimbaji wa Uinjilisti kwaya (Sophia) akifanya matendo walipokuwa wakiimba Cheers kidogo ili kuonesha upendo

0 maoni:

Chapisha Maoni