Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumamosi, 3 Februari 2018

UMAKI wamkabidhi mama Dismas zawadi ya ndoa

Pichani ni wawakilishi wa UMAKI kanisa Anglikana Mtakatifu Mathayo Majohe wakiwa na mama Dismas kulia na watoto wake, wakimkabidhi zawadi ya kitenge na zuria baada ya kufunga ndoa takatifu huko Dodoma tarehe 8 Desemba 2017. Mungu awabariki sana kwa zawadi hiyo.

0 maoni:

Chapisha Maoni