Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Ijumaa, 30 Machi 2018

Ijumaa Kuu: Watumishi wanne watafakari maneno 7 ya Bwana Yesu msalabani

Kwenye ibada ya Ijumaa kuu ya leo hapa mtaani watumishi wanne ndiyo walitafakari maneno 7 ya Bwana Yesu msalabani. Watumishi hao ni Mwinjilisti Sospeter Mrope pichani juu na wengine hapo chini.
Padre Johnson Lameck
  Shemasi Yohana Lenda
Mwinjilisti John Haule

Maneno 7 ya Bwana Yesu msalabani
1. Baba uwasamehe hawajui watendalo
2. Amini nakwambia, leo hii utakuwa nami peponi. Luka 23:43
3. Mama tazama mwanao na mwana tazama mama yako. Yohana 19:26
4. Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha? Marko 15:34
5. Naona kiu. Yohana 19:28
6. Imekwisha. Yohana 19:30
7. Bwana mikononi mwako naiweka roho yangu. Luka 23:46

0 maoni:

Chapisha Maoni