Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 4 Machi 2018

Picha 5: Jumuiya ya Mt. Cecylia yatwaa kikombe cha sadaka za jumuiya

Jumuiya ya Mtakatifu Cecylia imeibuka kinara wa sadaka za jumuiya baada ya kutoa sadaka nyingi zaidi ya jumuiya zote nane za hapa mtaani. Hata hivyo ushindi huo haukupatikana kirahisi baada ya kupata upinzani wa hali ya juu toka jumuiya ya Mtakatifu Luka ambao walikuwa wa pili. Sadaka hizi za jumuiya hutolewa mara moja kwa mwezi. Hongera sana Mtakatifu Cecylia, na Mungu azibariki jumuiya zote kwa kumtolea. Amina


Maoni 1 :