Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 25 Machi 2018

Picha 8: Matukio katika picha jumapili ya mitende leo

Leo ni jumapili ya mitende. Pichani juu ni Kasisi wa mtaa huu Johnson Lameck katikati aliyeongoza misa ya leo, akisaidiwa na Shemasi Yohana Lenda kushoto na Mwinjilisti John Haule kulia.
 Waumini ndani ya kanisa, wakiwa na matawi ya mitende
 Maandamano kabla ya kuingia kanisani

Picha zote na Ndaison Jacob (Katibu msaidizi wa mtaa)

0 maoni:

Chapisha Maoni