Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 18 Machi 2018

Picha 8: Semina ya wazee wa kanisa jana

Pichani ni washiriki wa semina ya wazee wa kanisa iliyofanyika hapa mtaani baada ya ibada ya pili leo. Semina hiyo iliongozwa na Canon Philip Munguti kutoka Zanzibar.
Canon Philip Munguti kutoka Zanzibar ndiye aliyeongoza semina
Wakati wa chakula, Padre Johnson Lameck akiongoza washiriki kupata chakula
Toka kulia ni Canon Philip Munguti, Padre Johnson, Ndaison Jacob (Katibu msaidizi hapa mtaani) na Mwinjilisti Sospeter Mrope wa Mt. Mathiya-Viwege
Toka kulia ni Shemasi Yohana Lenda, Mwinjilisti John Haule, Padre Johnson Lameck, Canon Philip Munguti, Mwinjilisti Sospeter Mrope wa Mt. Mathiya-Viwege
Washiriki ndani ya kanisa
Canon Philip Munguti akiendesha semina
Washiriki ndani ya kanisa


Picha zote na Ndaison Jecob

0 maoni:

Chapisha Maoni