Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumatatu, 26 Machi 2018

Video 3: Maandamano ya jumapili ya mitende hapa mtaani


Kama ilivyo kawaida kwa Jumapili ya mitende, jana waumini pamoja watumishi wa hapa mtaani walipata wasaa wa kuandamana na baadae kuendelea na ibada ya mitende. Tazama video za maandamano hayo hapo chini. Video ya mwisho kabisa ni baada ya kuingia ndani ya kanisa kuendelea na ibada.
Video zote na Katibu Msaidizi wa Kanisa (Ndaison Jacob)

0 maoni:

Chapisha Maoni