Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 8 Aprili 2018

Picha 10: Ziara ya "Mount Sinai" kwaya yafana

 Leo tulipata ugeni wa “Mount Sinai” kwaya toka Kanisa Anglikana Mtakatifu Columbas-Pugu, Dar es Salaam. Hakika ni kwaya iliyosheheni vipaji vya kumsifu Bwana kwa njia ya uimbaji. Kwa sasa kwaya hiyo inafanya mauzo ya DVD yao yenye nyimbo 8 kwa Tsh. 5,000. Piga namba 0682371203 ujipatie nakala yako.

 


 Mwonekano DVD yao kwa mbele
Mwonekano DVD yao kwa nyuma

0 maoni:

Chapisha Maoni