Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 8 Aprili 2018

Picha 11: Jumuiya ya Madhabahuni yatwaa kombe la sadaka za shukrani kwa jumuiya

Mabingwa wapya wa sadaka za shukrani za Jumuiya kwa mwezi Aprili 2018 ni Jumuiya ya Madhabahuni ikiongozwa na Padre Johnson Lameck kama anavyoonekana pichani kulia akipokea kombe toka kwa mshauri wa wakristo John Lugendo. Mungu awabariki sana
Umaki walipoleta sadaka yao
Jumuiya ya Mtakatifu Marko walipoleta sadaka yao
Mtakatifu Mariam walipoleta sadaka yao
Sayuni Kwaya walipoleta sadaka yao
Jumuiya ya Mtakatifu Yohana walipoleta sadaka yao
  Uinjilisti Kwaya walipoleta sadaka yao
Jumuiya ya madhabahuni wakishangilia ushindi wao
Jumuiya ya Mtakatifu Yakobo na Theresa walipoleta sadaka yao
Jumuiya ya Mtakatifu Theresa walipoleta sadaka yao
Jumuiya ya Mtakatifu Luka walipoleta sadaka yao

0 maoni:

Chapisha Maoni