Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 1 Aprili 2018

Picha 12: Baadhi ya matukio katika picha pasaka ya leo hapa mtaani


Leo waumini wa hapa mtaani wameungana na wakristo wengine Ulimwenguni kusheherekea siku ya kufufuka mkombozi Yesu Kristo (Pasaka). Yafuatayo ni matukio katika picha ya ibada ya leo hapa mtaani.

Uinjilisti Kwaya, hakika wamependeza
Waumini nje ya kanisa baada ya ndani kujaa
Waumini nje ya kanisa baada ya ndani kujaa
Sayuni Kwaya wakiimba 


Kasisi wa mtaa, Johnson Lameck ndiye aliyeongoza na kuhubiri kwenye ibada ya leo

0 maoni:

Chapisha Maoni