Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 8 Aprili 2018

Picha 5: Licha ya mbwembwe nyingiiii, mt. Cecylia washindwa kutetea kombe lao

Licha ya mbwembwe nyingi Jumuiya ya Mtakatifu Cecylia ambao walikuwa mabingwa watetezi wa kombe la sadaka za shukrani za jumuiya kwa mwezi Machi 2018 hapa mtaani, leo wameshindwa kulitetea kombe lao baada ya utwaliwa na Jumuiya ya Madhabahuni ikiongozwa na Padre Johsnon Lameck. Hivyo ubingwa wa mwezi Aprili 2018 umeshikiliwa na Jumuiya ya madhabahuni.
Picha zifuatazo ni jinsi wanajumuiya ya Mtakatifu Cecylia walivyokuwa wakicheza kwa mbwembwe na majigambo bila kufahamu watavuliwa ubingwa wao. Mungu atubariki sana wote


 


0 maoni:

Chapisha Maoni