Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 1 Aprili 2018

Picha 5: Waumini waagana kwa furaha mwisho wa ibada ya Pasaka hapa mtaani

Katibu wa mtaa (John Mwimbe) mwenye shati ya bluu na suruali nyeusi akiwa ameshikana mikono na waumini wengine kama ishara ya kutakiana kheri mwisho wa ibada ya Pasaka leo. Picha zote zifuatazo ni za mwisho wa ibada nje ya kanisa.


0 maoni:

Chapisha Maoni