Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 27 Mei 2018

Picha 7 na Video: Magida Timotheo atia fora kwa uimbaji na uchezaji ibada ya pili leo

Mwimbaji binafsi wa nyimbo za injili Magida Timotheo pichani akimsifu Mungu kwa kuimba na kucheza kwa ustadi mkubwa ibada ya pili leo hapa mtaaani. Hakika mtumishi huyu anakipaji cha hali juu. Mungu ambariki sana.
0 maoni:

Chapisha Maoni