Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 6 Mei 2018

Picha 2: Almanusura Mwinjilisti Emmanuel avue shati...

Mwinjilisti Emmanuel pichani ndiye aliyekuwa mwendeshaji wa kipengele cha utoaji sadaka za Jumuiya zote kwenye ibada ya leo hapa Mtaani. Baada ya kutoridhishwa na kiasi cha sadaka kilichotolewa na Jumuiya ya Mtakatifu Luka, alitaka kuvua shati kama anavyoonekana pichani juu. Yote hii ni katika kuhamasisha utoaji wa kumpendeza Bwana. Abarikiwe sana Mwinjilisti Emmanuel
Hapa alimtaka Mama Mwimbe mwenye sketi nyekundu amfunge vifungo vya shati, hata hivyo sadaka iliongezwa na kumuokoa Mama Mwimbe kumfunga vifungo Mwinjilisti Emmanuel mbele ya mumewe (John Mwimbe).

0 maoni:

Chapisha Maoni