Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 27 Mei 2018

Picha 3: Sayuni na Uinjilisti kwaya zaimba pamoja leo

Tofauti na ilivyozoeleka, leo Sayuni na Uinjilisti kwaya wamechanganyika na kuimba pamoja. Haikufahamika kwa haraka sababu iliyowapelekea kufanya hivyo, japo kwa kipindi cha hivi karibuni kwaya hizo zimekuwa zikikabiliwa na tatizo la uhaba wa wanakwaya. Mungu azibariki kwaya hizo.

0 maoni:

Chapisha Maoni