Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 6 Mei 2018

Picha 4: Mzee Chane amiminiwa maombi ya baraka tele

Mzee Chane mwenye shati jeusi akipokea baraka toka kwa waumini wote baada ya kutoka sadaka ya maumivu kwenye ibada ya Sadaka za Jumuiya zote leo. Maombi hayo ya baraka kwa Mzee Chane yaliongozwa na Mwinjilisti Emmanuel (hayupo pichani). Abarikiwe sana Mzee Chane
Waumini upande wa akina mama wakielekeza baraka zao kwa Mzee Chane
  Waumini upande wa akina baba wakielekeza baraka zao kwa Mzee Chane

0 maoni:

Chapisha Maoni