Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 27 Mei 2018

Picha 6: Jumuiya ya Mt. Marko yamshukuru Mungu kwa sadaka ya vitambaa vya madhabahuni

Baadhi ya wana jumuiya ya Mtakatifu Marko pichani juu wakiwa madhabahuni na sadaka yao ya vitambaa vya madhabahuni ambayo ni shukurani yao kwa Mungu. Tukio hili lilitendeka ibada ya pili leo hapa mtaani. Mungu awabariki sana

Mama Komeka akisema neno kwa niaba ya wana Jumuiya wenzake
 
Padre Johnson kushoto wa hapa mtaani akiviweka wakfu vitambaa hivyo, kulia ni Shemasi Yohana Lenda

0 maoni:

Chapisha Maoni