Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 27 Mei 2018

Picha 7: Hakika mtoto Mary anaongoza kwa pirika pirika awapo ibadani

Hakika mtoto Mary pichani huitumia haki yake ya kucheza kikamilifu bila kujali yupo wapi. Mtoto huyu anaweza kuwa ni mtoto mwenye pirika nyingi awapo ibadani ukilinganisha na watoto wengine wote. Suala la kuingia na kutoka kanisani mara nyingi awezavyo wakati ibada ikiendelea ni kitu cha kawaida sana kwake. Hakika anaweza akatembea kilimeta kadhaa awapo ibadani bila kujitambua. Mungu ambariki sana mtoto Mary.0 maoni:

Chapisha Maoni