Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 6 Mei 2018

Sadaka za Jumuiya zote: Jumuiya ya Madhabahuni yatwaa kombe mara ya 2 mfululizo

Leo kwa mara ya pili mfululizo Jumuiya ya Madhabahuni (pichani juu) imefanikiwa kulitwaa kombe la Sadaka za Jumuiya zote baada ya kufanya hivyo pia mwezi wa Aprili. Mungu awabariki sana
Bibi Mzuri (Mshauri wa wakristo hapa Mtaani) akitoa pongezi kwa Jumuiya ya Madhabahuni kabla ya kuwakabidhi kombe
Bibi Mzuri akiwapa mkono wa pongezi wana Jumuiya ya Madhabahuni
Fr. Johnson Lamecky wa hapa Mtaani akipokea kombe toka kwa Bibi Mzuri


0 maoni:

Chapisha Maoni