Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 3 Juni 2018

Picha 5: Madhabahuni watwaa kombe la sadaka za jumuiya zote mara ya 3 mfululizo

Mwimbaji binafsi Timotheo akiwa amenyanyua kombe la ushindi wa sadaka za Jumuiya zote baada ya Jumuiya ya Madhabahuni kulitwaa kwa mara ya tatu mfululizo. Kombe hilo hushindaniwa mara moja kwa mwezi. 
 Mbwembwe za Mwinjilisti Emmanuel ambaye ndiye alikuwa MC wa tukio hili la sadaka za Jumuiya
 Padre Johnson Lameck akituma sadaka kwa njia ya simu kwa mhazini wa Mtaa huu (Simon Semaganga) ili kuongeza sadaka yao ya madhabahuni.
 Mshauri wa Padre (Mzee Pilla) baada ya kumkabidhi kombe Padre Lameck
Jumuiya ya Madhabahuni pamoja na kombe lao

0 maoni:

Chapisha Maoni