Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 17 Juni 2018

Viongozi wanne wa UMAKI wasimikwa leo

Padre Johnson Lameck amewasikika viongozi wanne wa UMAKI hapa mtaani. Tukio hili limefanyika ibada ya pili leo. Toka kushoto waliopiga magoti ni Mama Komeka (Mwenyekiti), Lucy Mangwea (Katibu Msaidizi), Mama Mitti (Mwenyekiti Msaidizi) na Bibi Winnie (Mshauri)


0 maoni:

Chapisha Maoni