Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 1 Julai 2018

Madhabahuni wapokonywa kombe na Mt. Luka

Hatimaye jumuiya ya madhabuhuni yakubali kuliachia kombe la Sadaka za Jumuiya zote baada ya kutwaliwa na Jumuiya ya Mtakatifu Luka (Pichani juu). Jumuiya ya Madhabahuni ililitwaa kombe hilo mara tata mfululizo kabla ya kupokonywa leo. Itakumbukwa mwezi uliopita Jumuiya ya Mtakatifu wakiongozwa na John Mwimbe walipinga na Padre Johnson wa Madhabahuni kila mmoja akijigamba kulitwaa kombe hilo. Hatimaye Mtakatifu Luka wameibuka washindi. Pongezi na baraka kwa Jumuiya ya Mtakatifu Luka.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mtakatifu Luka (Mama Mwimbe) akikabidhiwa komba na Padre Johnson Lameck

0 maoni:

Chapisha Maoni