Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumamosi, 28 Julai 2018

Picha 15: Sherehe ya Jumuiya ya Mtakatifu Yakobo yafana leo

Leo Jumuiya ya Mtakatifu Yakobo ya hapa Mtaani imesheherekea sikukuu ya Mtakatifu wao (Yakobo). Sherehe hiyo imefanyika nyumbani kwa Bwana Joram. Sherehe hiyo ilihudhuriwa na Padre Johnson Lameck wa hapa Mtaani na Mwinjilisti Yohana Lenda, pamoja na wageni waalikwa kutoka Jumuiya nyingine.

 Sayuni kwaya wakiimba

 Ushirika Mtakatifu
 Viongozi wa Jumuiya ya Mt. Yakobo wakiwa na Padre Johnson na Shemasi Lenda
 Wageni waalikwa na watumishi
 Uinjilisti kwaya wakiimba

 Meza kuu, Padre Johnson kushoto na Shemasi Lenda kulia
 Mzee Chane akisoma risala fupi


Zawadi za Padre Johnson alizokabidhiwa na wanajumuiya ya Mt.Yakobo

0 maoni:

Chapisha Maoni