Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 8 Julai 2018

Picha 5: "Ni kwa neema" ya Uinjilisti Kwaya yakonga nyoyo za waumini

Uinjilisti kwaya pichani wakiimba wimbo wao "Ni kwa Neema" ambao uliombwa na familia ya Semainda ili kusindikiza shukrani ya kufaulu watoto wao walioifanya leo. Hakika ni wimbo mzuri sana na ulikonga nyoyo za waumini. Wabarikiwe sana

  


0 maoni:

Chapisha Maoni