Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 26 Agosti 2018

Picha 3: Mzee wa Kilosa ashukuru na kuaga leo

Mzee Eliud Mrutu pichani ambaye alikuwa akiabudu nasi hapa mtaani kwa takribani mwezi mmoja, ametuaga rasmi leo baada ya kumaliza matibabu yake na Mungu kumponya. Mzee Eliud ni mkazi wa Kilosa Morogoro na anatarajia kuelekea huko karibuni. Mungu ambariki sana.
Padre Johnson Lameck kushoto na Mwinjilisti Sospeter Mrope wakimuombe Mzee Eliud alipokuwa akiaga.0 maoni:

Chapisha Maoni