Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 5 Agosti 2018

Picha 5: Mtakatifu Cecylia ni balaa, wawapokonya kombe Mtakatifu Luka

Hatimaye Jumuiya ya Mtakatiu Cecylia imefanikiwa kuwapokonya kombe Mtakatifu Luka kwenye ibada ya sadaka za shukrani za jumuiya yote. "Kombe limerudi nyumbani", hii ni kauli iliyotumiwa na wanajumuiya ya Mtakatifu Cecylia leo kujigamba. Mungu awabariki Mtakatifu Cecylia pamoja na Jumuiya zote zilizomtolea leo, Amen.
Mtakatifu Cecylia wakielekea kukabidhiwa kombe
Kulia ni mama Magungu ambaye aliongoza mashambulizi ya kuwamaliza Mtakatifu Luka




0 maoni:

Chapisha Maoni