Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Ijumaa, 31 Agosti 2018

Picha 6: Ibada ya msiba wa mzee Noah

Ibada ya kumuaga mzee Noah Haule ambaye ni Baba mzazi wa muumini mwenzetu Jemima wa hapa mtaani, imefanyika leo hapa kanisani na kuongozwa na Baba Padre Johnson Lameck (katikati) akisaidiwa na Mwinjilisti Sospeter Mrope (kushoto) na Mwinjilisti John Haule (kulia). Ibada hiyo ilifuatiwa na mazishi yaliyofanyika Buguruni Malapa hapa Dar es Salaam. Mzee Noah alifariki tarehe 28/8/2018.

Bwana alitoa, Bwana ametwaa, jina lake libarikiwe.  Mtoto wa marehemu, Jemima

0 maoni:

Chapisha Maoni