Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Alhamisi, 23 Agosti 2018

Picha 6: Sayuni kwaya walipozuru kanisa la Kristo Mfalme Kinondoni

Jumapili iliyopita Sayuni kwaya ya hapa mtaani ilitembelea kanisa Anglikana Kristo Mfalme Kinondoni kwaajili ya huduma. Waliongozana na Baba Padre wa hapa mtaani (Johnson Lameck) na Mlezi wa kwaya Lucy Mangwea (wa kwanza kushoto waliosimama)
Mlezi wa kwaya, Lucy Mangwea


0 maoni:

Chapisha Maoni