Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 2 Septemba 2018

Agnes awakonga nyoyo waumini kwa nyimbo zake tatu leo

Mwimbaji binafsi Agnes akiimba moja kati ya nyimbo zake tatu alizoimba leo kwenye ibada ya Harambee. Hakika amewabariki waumini kwa nyimbo zake. Tembelea www.agneshiza.blogsot.com kupata mengi kuhusu Agnes. Mungu ambariki sana

0 maoni:

Chapisha Maoni