Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 2 Septemba 2018

Darasa la 7 waombewa kwaajili ya mitihani

Wanafunzi wa darasa la saba wakiwa wamepiga magoti kupokea baraka toka kwa Padre Johnson Lameck (hayupo pichani) kwaajili ya kuanza mitihani ya Taifa ya kumaliza elimu ya msingi itakayoanza jumatano ijayo. Waliosimama ni wazazi/ walezi wa watoto hao. Mungu awatangulie kwenye mitihani hiyo.

0 maoni:

Chapisha Maoni