Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 2 Septemba 2018

Namba ya kupokea michango ya ujenzi wa kanisa jipya yazinduliwa

Padre Johnson kushoto na Mhazini wa kanisa Simon Semagenga wakizindua namba ya tigopesa ya kupokea michango kwaajili ya ujenzi wa kanisa jipya la hapa mtaani leo. Namba hiyo ni 0658 057173 (Jina: Simon Semaganga). Kila mtu anaweza kutuma mchango wake kwa namba hiyo wakati wowote. Mungu atutangulie katika hili.

0 maoni:

Chapisha Maoni