Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 9 Septemba 2018

Picha 10: "Kwaheri Mwingereza"

Hii ni safari ya mwisho ya muumini mwenzetu Peter  Mwingereza aliyefariki jana hospitali ya Kisarawe alipokuwa amelazwa. Marehemu alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa mapafu kujaa maji na presha ya kupanda. Ibada ya msiba leo iliongozwa na Padre Johnson Lameck nyumbani kwa marehemu na kufuatiwa na mazishi yaliyofanyika makaburi ya Pugu – Dsm. Marehemu ameacha mjane na watoto watano. Bwana amrehemu, Amina
 
 Ibada ya msiba nyumbani kwa marehemu
 Waliokaa (mwenye kilemba cheupe) ni Mjane wa marehemu
 Watumishi walioongoza misa nyumbani hadi makaburini. Kutoka kushoto ni Mwinjilisti Yohana Lenda, Padre wa mtaa huu Johnson Lameck, Mwinjilisti Sospeter Mrope na Mwinjilisti John Haule
Mwenyekiti wa kwaya kuu Kanisa Anglikana Mtakatifu Paulo Ukonga akiongea kwa niaba ya wanakwaya. Mjane wa marehemu ni mwanakwaya wa kwaya hiyo
 Heshima za mwisho


 Mjane na watoto wakiweka udongo kaburini
Mama mzazi wa marehemu akiweka shada

0 maoni:

Chapisha Maoni