Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 9 Septemba 2018

Picha 3: Kwa shangwe kubwaaaa Mtakatifu Luka wapokea zawadi ya ushindi wao

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mtakatiu Luka Bertha Mwimbe akipokea kombe la ushindi wa Harambee ya ujenzi wa kanisa kwa mwaka 2018 toka kwa Padre Johnson Lameck. Pia wamekabidhiwa mbuzi kama anavyoonekana kwenye picha hapo chini. Ushindi huu waliutwaa jumapili iliyopita baada ya kuzishinda jumuiya nane za mtaa huu kwa kufanikiwa kumtolea Bwana sh. 2,800,000. Hakika walizipokea zawadi zao kwa mbwembwe kubwa ambazo hazikuwahi kufanywa miaka ya nyuma na jumuiya zilizowahi kushinda. Mungu awabariki sana.


0 maoni:

Chapisha Maoni