Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 2 Septemba 2018

Picha 4: Jumuiya ya Mtakatifu Luka waibuka mabingwa wa Harambee mwaka huu

Hatimaye leo Jumuiya ya Mtakatifu Luka imeibuka mshindi wa Harambee ya mwaka huu baada ya kuzishinda Jumuiya nane za hapa mtaani. Jumuiya ya pili ni Mtakatifu Yakobo na ya tatu ni Mtakatifu Mariam. Jumuiya ya Mtakatifu Luka ilitoa sh. 2,800,000 ,Mtakatifu Yakobo sh. 2,400,000 na Mtakatifu Mariam sh. 2,210,300. Pia Jumuiya nyingine zilijitahidi kumtolea Bwana kadiri zilivyoweza.

Zawadi za washindi zitakabidhiwa Jumapili ijayo, ambapo mshindi wa kwanza atapata mbuzi, mshindi wa pili jogoo wawili na mshindi wa tatu jogoo mmoja.

0 maoni:

Chapisha Maoni