Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 9 Septemba 2018

Picha 4: Mtakatifu Mariam wakabidhiwa zawadi yao ya ushindi wa 3 wa Harambee

Nathan Charles akimnyanyua juu jogoo ambaye ni zawadi ya Jumuiya ya Mtakatifu Mariam kwa kuwa mshindi wa 3 wa Harambee ya ujenzi wa kanisa iliyofanyika jumapili iliyopita.Mungu awabariki sana Mtakatifu Mariam.

Baadhi ya watoto wa Jumuiya ya Mtakatifu Mariam wakiwa na zawadi yao (jogoo)

0 maoni:

Chapisha Maoni