Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 9 Septemba 2018

Waitara azulu msiba wa Peter Mwingereza

Mgombea kiti cha Ubunge jimbo la Ukonga kwa tiketi ya CCM Mwita Waitara mwenye shati la njano na kofia ya kijani mkononi akisalimiana na Padre Johnson Lameck wa mtaa huu, alipozulu msiba wa Peter Mwingereza nyumbani kwa marehemu Majohe - Kwa Meddo - Dar es Salaam. Waitara alipata wasaa wa kuongea na waombolezaji na kuwapa pole kwa msiba na kuondoka.

Waitara mwenye shati la njano akiwapa pole waombolezaji

0 maoni:

Chapisha Maoni