Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 7 Oktoba 2018

Picha 13: kwakheri Shemasi Lenda

Leo Shemasi Lenda pichani juu ameagwa rasmi baada ya kuhudumu hapa mtaani kwa takribani miaka miwili huku akiendelea na masomo ya chuo cha Mtakatifu Marko. Kwa sasa amemaliza masomo yake rasmi na ataelekea Shinyanga kuendelea kumtumikia Bwana kama kama Kasisi. Tukio hili limeambatana na kusheherekea siku ya Mtakatifu Mathayo hapa mtaani. Zifuatazo ni picha za baadhi ya waumini wakimuaga. Mungu ambariki sana0 maoni:

Chapisha Maoni