Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA

Mawasiliano

KANISA LA ANGLIKANA TANZANIA
DAYOSISI YA DAR ES SALAAM
MTAA WA MTAKATIFU MATHAYO - MAJOHE
S.L.P 5159
DAR ES SALAAM

Namba ya simu: +255 715 685211 (Katibu), +255 755 933 529 (Katibu Msaidizi)
Barua pepe: anglikanamajohe@gmail.com

JINSI YA KUFIKA KANISANI
  • Fika kituo cha daladala Gongo la Mboto mwisho, kisha uliza kituo cha daladala/bodaboda za kwenda Majohe (Bwela) ambacho kipo nyuma ya Chuo Kikuu Kampala.
  • Ukifika kituoni unaweza kupanda bodaboda ya dereva anayepafahamu kanisani, hivyo akakuleta moja kwa moja kwa sh. 1,000-1,500.
  • Au unaweza kupanda daladala hadi kituo cha mwisho (Bwela),ukishuka tumia ramani hapo chini kufika Kanisani.
  • Usisite kutupigia kwa namba ya simu hapo juu ili kupata  maelezo zaidi ya jinsi ya kufika kanisani kama utapata tabu.


RAMANI YA KUKUFIKISHA KANISANI