Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA

Sayuni Kwaya

Fungua ukurasa wa "MWANZO" kusikiliza nyimbo za kwaya hii.

Uongozi wa sasa

Historia ya kwaya
Awali ya yote tunapenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mungu kwa upendo wake  na kwa wema wake kutufikisha mahali hapa tulipo fikia. 

Kwaya ya sayuni ilianza mnamo  mwaka 2011, wakati huo kundi likiwa halina mwalimu likiitwa kwaya ya tayo au vijana tayo .Ilianza ikiwa na wanakwaya wasiopungua 15, chini ya uongozi wa Mwenyekiti  LEAH BOAZI na msaidizi wake ROSINA KASELA ,katibu ANNA NOEL , mhazini MAGRETH PILLA. Tunashukuru Mungu kwa kipindi hicho ambacho kwaya haikuwa  na mwalimu. Mungu aliachilia neema kwa kaka yetu DEFTI  NYAMWERU na dada yetu ROSINA KASELA ambao  waliweza  kuongoza kwaya katika huduma .

Mwaka 2012 tulipata mwalimu wa kwaya RAYMOND MPAPI .Tunashuru Mungu mwalimu huyu anaiongoza kwaya hii mpaka sasa .Katika  kipindi hichohicho alicho patikana mwalimu  tulipata jina la kwaya ambalo ni "SAYUNI".

Kufikia mwaka 2013 kwaya yetu ya  SAYUNI ilipata uongonzi mpya ambao uliongoza mpaka mwaka 2015.
Mwenyekiti - JOHN KIHIYO
Mwenyekiti Msaidizi  - ADERA JOHN
Katibu-WINNIE ERNEST
Mhazini - BEARTCE KIHIYO
Nidhamu - MARIAMU SEJEGWA
Walezi –MR. NJAMA ,MAMA VAIRET MITI,MR.HOKORORO.

Mnamo mwezi wa 3 mwaka 2015 kwaya ilichagua tena uongozi mpya wa awamu ya 3.
Mwenyekiti - ADELA JOHN
Msaidiizi - MARIAM SHABANI
Katibu - REBEKA   MWANSI
Msaidizi - ALLEN ALFRED
Mhazini - MARY LUKAS
Ndhamu - JOHN   KIHIYO
Msaidizi - KANICIUS  FREDRICK 

Waalezi  wa kwaya ni kama ifuatavyo:-
MR.  GUMBO
MR. LUCAS JEUZA
NEEMA NKAYA
QEEN KAFYULILO
MR.HOKORORO

Mafanikio
1.Tulifanikiwa kupata mwalimu wa kwaya  MR. RAYMOND MPAPI  ambaye anaiongoza kwaya mpaka sasa.
2.Tulifanikiwa kurekodi albamu yetu ya kwanza ya Audio mnamo mwaka 2013 ambayo iliitwa "MSIFADHAIKE"
3.Tulifanikiwa kutoka nje ya kanisa na kwenda sehemu mbalimbali   kwa ajili ya huduma

Changamoto
1.  Kuongezeka na kupungua kwa idadi ya wana kwaya ,kutokana majukumu mbalimbali
: Tunamshuru Mungu anatupigania bado tunaendelea
2. Changamoto ya usafiri hasa kwaya inapotakiwa kusafiri/kutoka nje ya kanisa
3. Uhaba wa uniform za kwaya

Malengo
1.Kupata mradi wa kwaya ambao upo mbioni kuanza 
2.Kurekodi albamu ya pili ya Audio ambayo tayari mchakato wake umesha anza na muda si mrefu utakamilika
3.Kufanya albamu ya video shooting baada ya kumaliza albamu ya Audio 
4.Kutokampka nje ya nchi na sehemu mbalimbali kutangaza injili.

Majina ya Uongozi mwaka 2015 - 2017
Mwenyekiti -  ADELA JOHN - 0653801952
Msaidzi - REBECA KWANSI  - 0683179798
Katibu – ALLEN ALFRED - 0712647008
Msaidzi – MARRY  JEUZA - 0656872054
Mhazini – KANICIUS FREDRICK - 0769406657       
Nidhamu – JOHN KIHIYO - 0653941110

Picha ya wanakwaya